
Mfuko wa Mafao wa Tumaini (TPF) upo kwa ajili ya kukuhudumia wewe Mchungaji wa kanisa la Tanzania Assemblies of God.
Rev. Dr. Mtokambali
Askofu Mkuu wa TAGMfuko wa Mafao wa Tumaini (TPF) upo kwa ajili ya kukuhudumia wewe Mchungaji wa kanisa la Tanzania Assemblies of God.
Rev. Dr. Mtokambali
Askofu Mkuu wa TAGKuwa Mfuko wa mfano kwa mifuko mingine ya ziada nchini
Kutoa huduma bora ya hifadhi ya jamii kwa watumishi kwa kuzingatia misingi ya imani ya kanisa
Uwazi, Uaminifu, Uadilifu, Uwajibikaji, Ubunifu, Kufanya kazi kwa kushirikiana na Huduma kwa wakati
Mfuko wa Penshen wa Tumaini (TPF - Tumaini Pension Fund) ulianzishwa mnamo tarehe 1/1/2019 na kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG) ili kutoa huduma za hifadhi ya jamii kwa watumushi wake yaani wachungaji na wamishenari. soma zaidi
Je una maoni au swali kuhusu Mfuko wetu, tafadhali wasiliana nasi.
A small river named Duden flows by their place and supplies